Swali: Vipi inapanguswa bendeji? Ni lazima kupangusa yote?

Jibu: Bendeji yote. Bendeji yote inatakiwa kupanguswa. Haitoshi kupangusa sehemu yake. Inachukua nafasi ya kiungo kilichotakiwa kupanguswa.

Swali: Kilemba pia ni lazima kukipangusa chote?

Jibu: Ni kama kichwa, chote kinatakiwa kupanguswa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 20/10/2016