Swali: Mtu ambaye anavaa kilemba katika nchi ambayo hakuvaliwi kilemba akemewe?

Jibu: Ndio. Avae kama wanavyovaa watu wa mji maadamu kivazi hicho sio haramu. Ikiwa kivazi chao kimeruhusiwa avae kama wao. Asiende kinyume nao kwa sababu kufanya hivo ni kutaka kuonekana. Ni kivazi cha kutaka kuonekana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017