Swali: Je, muislamu na kafiri wote wawili wana Malaika walinzi wanaowalinda kwa amri ya Allaah na Malaika wanaoandika matendo yao?
Jibu: Hapana shaka. Hapana shaka ya kwamba wako na muislamu na kafiri pia.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3