Swali: Ni ipi hukumu ya kuvaa kikoi  (إزار) kinachofanana na sketi?

Jibu: Haijuzu ijapokuwa baadhi ya wanachuoni waheshimiwa wanaona kuwa inafaa. Lakini ni kosa. al-Lajnah ad-Daaimah wametoa fatwa ya kukataza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2020