Kijana miaka 12 anataka kutia mke ndani

Swali: Je, ni halali kwangu kuoa  na umri wangu ni miaka 12?

Jibu: Ni halali kwako kuoa japo una miaka 12. Hakuna kipingamizi kinachozuia hilo.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (18/25)
  • Imechapishwa: 20/08/2017