Swali: Ni haramu kula mamba na kiboko na kunufaika na ngozi yake?

Jibu: Chenye kuishi katika nchikavu na baharini kinaliwa tu ikiwa ni halali na kimechinjwa. Chenye kuishi ndani ya bahari na lau kitatoka kwenda nchikavu kitakufa maiti yake ni halali. Hiki ni kidhibiti cha wazi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020