Swali: Ni kipi kidhibiti cha kutoa zakaah sawa iwe kutoka kwa baba kwenda kwa mwana au kutoka kwa mwana kwenda kwa baba?

Jibu: Kidhibiti ni kile tulichotaja: ya kwamba asitoe kumpa yule ambaye ni wajibu kwake kumhudumia. Akitoa kumpa mtoto au baba kwa sababu ya matumizi na watu hao ilihali ni miongoni mwa wale watu ambao anawajibika kuwahudumia haisihi. Vilevile akitoa katika kulipa deni au mfano wa hayo katika mambo ambayo hayamuwajibikii inasihi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (41) http://binothaimeen.net/content/1520
  • Imechapishwa: 03/11/2018