Swali: Nilikuwa naswali na nikatabasamu ndani ya swalah tabasamu iliokuwa kubwa ambayo ilitoa sauti yangu. Je, juu yangu nina kitu?

Jibu: Huku sio kutabasamu. Huku ni kucheka. Sauti inayotoa herufi nje sio tabasamu. Ikiwa una uhakika ulifanya hivo irudi swalah yako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (59) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-21.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020