Swali: Inajuzu kuanza kutoa Khutbah ya ´iyd bila ya kusoma Takbiyr?

Jibu: Ndio, inajuzu. Takbiyr zimependekezwa na sio lazima.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
  • Imechapishwa: 07/08/2019