Khawaarij Ndio Waliolipua Msikiti Wa Aasir


Swali: Unawanasihi vipi wanafunzi na waalimu kuhusiana na mlipuko uliotokea katika msikiti wa SEF[1] maeneo ya Aasir?

Jibu: Wawatahadharishe watu juu ya matendo kama hayo. Wawabainishie ya kwamba haya ni matendo ya Khawaarij, ya kwamba wanaenda kinyume na njia ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na kwamba ni kufanya uasi dhidi ya watawala. Wawabainishie kuwa matendo kama hayo ni kuua nafsi pasi na haki na madhambi mengine mengi.

[1] Tazama https://en.wikipedia.org/wiki/Saudi_Emergency_Force
  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20-%2024-10-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017