Swali: Je, imewekwa katika Shari´ah Khatwiyb akakamilisha maudhui yake baada ya swalah ya ijumaa?

Jibu: Ikiwa kunahitajia kuzindua kitu, afanye hivo. Ikiwa hakuna haja ya kufanya hivo Khutbah inatosheleza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017