Swali: Mtunzi ametaja ya kwamba kukaa kati ya Khutbah mbili ni jambo lililopendekezwa. Ikiwa Khatwiyb ataacha kukaa baada ya Khutbah ya kwanza na akasimama na kunyamaza halafu ndipo akaanza Khutbah ya pili. Je, ile Khutbah yake ya pili inahesabiwa?

Jibu: Anahesabiwa Khutba mbili, lakini kitendo chake kinaenda kinyume na Sunnah. Hivyo amejikosesha ujira mkubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (13) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-26-10-1434.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017