Swali: Tofauti katika misingi ni kinyume na tofauti katika matawi?

Jibu: Ndio. Tofauti katika misingi ni jambo baya zaidi. Ni kama mfano wa tofauti za Jahmiyyah na wengineo pamoja na Ahl-us-Sunnah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 19
  • Imechapishwa: 06/06/2019