Swali: Inajuzu kwa wachumba kuwasiliana ikiwa mwanaume amepata idhini ya walii wake?
Jibu: Hili halitakiwi kwa njia isiyofungamana. Kwa kuwawakiwa na mawasiliano kati yao, mawasiliano mengi, hakuaminiki huenda kukatokea pia mawasiliano ya vitendo. Baada ya mawasiliano ya vitendo la kufuatia ni mawasiliano ya kimwili. Hiki ni kitu kimeshajaribiwa na kinajulikana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hawi mwanaume na mwanamke faragha ispokuwa shaytwaan huwa watatu wao.”
- Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=caM_dg_KkwM
- Imechapishwa: 19/09/2020
Swali: Inajuzu kwa wachumba kuwasiliana ikiwa mwanaume amepata idhini ya walii wake?
Jibu: Hili halitakiwi kwa njia isiyofungamana. Kwa kuwawakiwa na mawasiliano kati yao, mawasiliano mengi, hakuaminiki huenda kukatokea pia mawasiliano ya vitendo. Baada ya mawasiliano ya vitendo la kufuatia ni mawasiliano ya kimwili. Hiki ni kitu kimeshajaribiwa na kinajulikana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hawi mwanaume na mwanamke faragha ispokuwa shaytwaan huwa watatu wao.”
Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=caM_dg_KkwM
Imechapishwa: 19/09/2020
https://firqatunnajia.com/khatari-ya-mawasiliano-ya-wachumba-%e2%80%82/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)