Khatari ya mawasiliano ya wachumba  


Swali: Inajuzu kwa wachumba kuwasiliana ikiwa mwanaume amepata idhini ya walii wake?

Jibu: Hili halitakiwi kwa njia isiyofungamana. Kwa kuwawakiwa na mawasiliano kati yao, mawasiliano mengi, hakuaminiki huenda kukatokea pia mawasiliano ya vitendo. Baada ya mawasiliano ya vitendo la kufuatia ni mawasiliano ya kimwili. Hiki ni kitu kimeshajaribiwa na kinajulikana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Hawi mwanaume na mwanamke faragha ispokuwa shaytwaan huwa watatu wao.”

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=caM_dg_KkwM
  • Imechapishwa: 19/09/2020