Swali: Leo tunawaona baadhi ya watu wanawaambia wengine wanyoe ndevu zao na kwamba eti wasiziache na kwamba kufanya hivo ndio wanaonekana wazuri zaidi au wakati mwingine wanawaambia kwamba Allaah hakuwaumba wakiwa na ndevu. Je, maneno haya yanahesabika ni kuritadi kutoka katika Uislamu?

Jibu: Ndio, yanaweza kuhesabika kuwa ni kuritadi kutoka katika Uislamu. Akichukia maamrisho ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kufuga ndevu na akachukia Sunnah na maamrisho yake yanayokataza juu ya kuzinyoa na kuzikata, huku ni kuritadi kutoka katika Uislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam https://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/04.mp3
  • Imechapishwa: 29/11/2018