Swali: Baadhi ya walinganizi katika makundi ya usafiri wanawatolea wahujaji fatwa kwamba inafaa kurusha vijiwe kwenye nguzo kabla ya Dhuhr…

Jibu: Haijuzu. Fatwa hizi ni za makosa. Hawana idhini ya kutoa fatwa. Fatwa ina mamlaka maalum ambayo mahujaji wanatakiwa kuiendea. Masuala haya ni muhimu. Si kila mtu atoe fatwa, acheze na wakazibadilisha ´ibaadah za watu. Hakuna neno wakawahimiza juu ya kumwabudu Allaah, kumcha Allaah, kumdhuru Allaah, kuswali, kumtii Allaah na kadhalika, lakini kutoa fatwa wawaachie wale watu wenye kustahiki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 17/04/2020