Swali: Je, inajuzu kufanya kazi ya teksi kwa kuzingatia ya kwamba naweza kuwa faragha na mwanamke ndani ya gari au nikabeba wateja walio na pombe au nikawapeleka sehemu ya haramu?
Jibu: Inajuzu kwako kufanya kazi ya teksi. Lakini pamoja na hivyo haijuzu kumbeba mwanamke aliye peke yake ukawa naye faragha na haijuzu kubeba mtu mwenye pombe. Yote haya ni haramu. Haijuzu kwako kufanya hayo.
Ama ukitumia gari yako kwa kubeba vitu ambavyo vimeruhusiwa, ni sawa.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Usuwl-is-Sunnah (01)
- Imechapishwa: 06/09/2020
Swali: Je, inajuzu kufanya kazi ya teksi kwa kuzingatia ya kwamba naweza kuwa faragha na mwanamke ndani ya gari au nikabeba wateja walio na pombe au nikawapeleka sehemu ya haramu?
Jibu: Inajuzu kwako kufanya kazi ya teksi. Lakini pamoja na hivyo haijuzu kumbeba mwanamke aliye peke yake ukawa naye faragha na haijuzu kubeba mtu mwenye pombe. Yote haya ni haramu. Haijuzu kwako kufanya hayo.
Ama ukitumia gari yako kwa kubeba vitu ambavyo vimeruhusiwa, ni sawa.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Usuwl-is-Sunnah (01)
Imechapishwa: 06/09/2020
https://firqatunnajia.com/kazi-ya-teksi-ulaya/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)