Kazi kwenye duka linalouza bidhaa mchanganyiko


Swali: Nafanya kazi kwenye duka linalouza bidhaa za halali na bidhaa za haramu. Je, inajuzu kwangu kufanya hivo?

Jibu: Ikiwa huuzi bidhaa za haramu na unauza bidhaa za halali peke yake, hakuna neno kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 03/02/2021