Swali: Mtu akiwaachia warithi wake mali baada ya kufa kwake. Je, mali hiyo itagawiwa kati yao sawa sawa mwanamke apewe kama mwanaume?
Jibu: Hapana. Wapewe kama jinsi Allaah Alivyowagawia:
لِلذَّكَرِ مِثْلُ حَظِّ الْأُنثَيَيْنِ |
”Mwanamume atastahiki mfano wa fungu la wanawake wawili.” (04:11) |
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (43) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-03-17.MP3
- Imechapishwa: 16/11/2014