Katika hali hii ni sawa ukatoa rushwa

Swali: Wafanya kazi wengi hawakupi haki yako mpaka kwanza utoe rushwa. Katika hali kama hii mtu afanye nini?

Jibu: Ikiwa haki yako inapotea basi hiyo ni dharurah. Dhambi zinampata yeye. Kwani hiyo ni dharurah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaad-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6176/%D9%85%D8%A7-%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%AF%D9%81%D8%B9-%D8%A7%D9%84%D8%B1%D8%B4%D9%88%D8%A9-%D9%85%D9%86-%D8%A7%D8%AC%D9%84-%D8%A7%D8%AE%D8%B0-%D8%A7%D9%84%D8%AD%D9%82
  • Imechapishwa: 29/11/2020