Swali: Je, mume anapata ujira akimpa idhini mke wake ya kufunga swawm za sunnah kwa kuwa ameuzulu haki yake?

Jibu: Ndio, kwa kuwa amemsaidia katika utiifu na ´ibaadah. Anapata ujira kwa kumsaidia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020