Katika hali hii haijuzu kuchelewesha mirathi

Swali: Inajuzu kuchelewesha kugawa mirathi kiasi cha kwamba baadhi ya warithi wakafa?

Jibu: Haijuzu kuchelewesha mirathi ikiwa warithi wataombwa igawanywe. Katika hali hii itakuwa haijuzu kuichelewesha isipokuwa kwa kuwepo udhuru wa Kishari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdatul%20Fiqh%20-%2018%20-%201-%20-1436.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020