Kapatia ambaye kafunga mwezi mzima wa Muharram?

Swali: Atakayefunga mwezi wa Muharram wote au baadhi ya siku chache, je kitendo chake hiki kapatia?

Jibu: Ndio ni sahihi. Muulizaji anasema kwa kuwa nimesikia katika Hadiyth:

“Swawm bora kwa Allaah baada ya Ramadhaan ni swawm ya mwezi wa Allaah Muharram.

“Jibu ni ndio. Hadiyth hii ni sahihi.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=4708
  • Imechapishwa: 26/08/2020