Kanda na kaseti haishiki nafasi ya msomaji

Swali: Je, kanda inatosheleza kutokamana na kusoma Suurah (al-Baqarah)[1]?

Jibu: Hapana.

[1] Bi maana kutekeleza Hadiyth ya Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ambayo amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Msiyafanye majumba yenu kuwa ni makaburi. Kwani hakika shaytwaan hukimbia ndani ya nyumba kunasomwa ndani yake Suurah al-Baqarah.” (Muslim 29/780)).

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 35
  • Imechapishwa: 01/07/2022