Swali: Mwanachuoni mpotevu ni mbaya zaidi kuliko kafiri moja kwa moja?
Jibu: Ndio, ni mbaya zaidi. Mwanachuoni mpotevu ni mbaya zaidi kuliko kafiri. Ni miongoni mwa mashetani wa kibinaadamu. Kafiri mjinga hafanyi yale yanayofanywa na mwanachuoni mpotevu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (58) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16539
- Imechapishwa: 23/09/2017