Swali: Je, inafaa kwangu kuchukua msaada kutoka kwa kafiri katika kumchuna na kumkatakata kichinjwa changu cha Udhhiyah baada ya kumchinja?

Jibu: Ndio, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
  • Imechapishwa: 26/09/2020