Swali: Ni ipi hukumu ikikosekana sharti moja miongoni mwa masharti ya uongozi na khaswa sharti ya Uislamu?

Jibu: Haijuzu kumpa bay´ah asiyekuwa Muislamu. Haijuzu kumfanya asiyekuwa Muislamu kuwa kiongozi wa Waislamu. Kadhalika ikiwa atapewa bay´ah ilihali ni Muislamu na akakufuru, bay´ah yake inavunjika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (14) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_14.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2018