Swali: Kafiri akisilimu na akaufanya Uislamu wake kuwa mzuri anakuwa walii wa Allaah?

Jibu: Hili halina shaka. Iwapo atasilimu na akaufanya vizuri Uislamu wake anageuka kutoka kuwa adui wa Allaah na kwenda kuwa walii wa Allaah (´Azza wa Jall).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (10) http://alfawzan.af.org.sa/node/2053
  • Imechapishwa: 19/01/2017