Kafiri aliyepewa amani atendee kazi dini yake nyumbani kwake

Swali: Kafiri aliyepewa amani katika nchi ya Kiislamu aachwe kutekeleza dini yake nyumbani kwake au ni wajibu kumkataza jambo hilo?

Jibu: Ikiwa anajificha aachwe. Kwa sababu shari yake imeaminiwa, watu hawamuoni. Hata hivyo asionyeshe hayo wazi katika nchi ya Kiislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (50) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah%20Fiqh-06-05-1437.mp3
  • Imechapishwa: 15/03/2019