Swali: Uwajibu wa kulisha unadondoka lau ikiwa mtu atamlisha chakula mtoto au kafiri?
Jibu: Kauli sahihi ni kwamba anayekula chakula haina neno akalishwa [mtoto]. Kuhusu kafiri haijuzu akalishwa katika kafara. Kwa kuwa kafara imeshurutishwa anayeipewa awe ni katika Waislamu.
Lakini hata hivyo, kuhusu zakaah ni jambo pana zaidi kwa kuwa inajuzu kumpa kafiri anayetiwa nguvu juu ya Uislamu. Ama kuhusu mambo ya kafara, kafara ya swawm, yamini na mume kumfananisha mke na mama yake hakudondoshi wajibu wake lau atapewa nayo kafiri.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 01
- Imechapishwa: 23/09/2020
Swali: Uwajibu wa kulisha unadondoka lau ikiwa mtu atamlisha chakula mtoto au kafiri?
Jibu: Kauli sahihi ni kwamba anayekula chakula haina neno akalishwa [mtoto]. Kuhusu kafiri haijuzu akalishwa katika kafara. Kwa kuwa kafara imeshurutishwa anayeipewa awe ni katika Waislamu.
Lakini hata hivyo, kuhusu zakaah ni jambo pana zaidi kwa kuwa inajuzu kumpa kafiri anayetiwa nguvu juu ya Uislamu. Ama kuhusu mambo ya kafara, kafara ya swawm, yamini na mume kumfananisha mke na mama yake hakudondoshi wajibu wake lau atapewa nayo kafiri.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 01
Imechapishwa: 23/09/2020
https://firqatunnajia.com/kafara-ya-swawm-kumlisha-chakula-mtoto-au-kafiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)