Kafara kwa mwenye kumjamii mwenye hedhi

Swali 709: Ni ipi kafara ya lazima kwa ambaye kamjamii mwenye hedhi?

Jibu: Ni lazima kwa aliyemjamii mwenye hedhi kutoa kafara ya dinari au nusu ya dinari. Ni jambo limepokelewa kutoka kwa Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa). Kwa sababu ni kafara kama inavokuwa katika kiapo. Inakuwa ni kafara kwa kutenda maasi hali ya kutarajiwa yafanywa mepesi. Ni miongoni mwa mambo yanayoikamilisha tawbah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdur-Rahmaan bin Naaswir as-Sa´diy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 276
  • Imechapishwa: 29/07/2019