Kafara kwa familia ilio na wakubwa na wadogo


Swali: Kuna mtu amekula kiapo na anataka kutoa kafara. Anataka kuilisha familia ilio na wakubwa na watoto. Familia iko na zaidi ya watu kumi. Ni kiwango kiasi gani atatoa?

Jibu: Ni sawa. Awape kilo 1,5 kg; kila mmoja 1,5 kg. Haijalishi kitu hata kama baadhi yao ni watoto midhali wanakula chakula. Ni sawa kuwapa kafara watoto chakula maadamu wanakula chakula.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
  • Imechapishwa: 28/05/2018