Jishughulisheni na elimu sasa, na si Jarh na Ta´diyl


Swali: Je, leo kuna Jarh na Ta´diyl?

Jibu: Ndugu! Kipi chenye kuwashughulisha Jarh na Ta´diyl? Jishughulisheni na kutafuta elimu kwa sasa. Ndio mnaanza sasa. Hamjakuwa hata na msingi. Jishughulisheni na kutafuta elimu pole pole.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
  • Imechapishwa: 22/04/2018