Jinsi ya kutaalimiana na watu wanaowaponda wanachuoni


Swali: Vipi tutawajibu wajinga na walioritadi ambao wanaomba dhidi ya mwanachuoni au Shaykh au walinganizi?

Jibu: Awanasihi. Awanasihi kwa kuwa huku ni kusengenya. Awanasihi kutosengenya na kuvunja heshima za watu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5436
  • Imechapishwa: 20/09/2020