Jinsi Ya Kusalimia Kundi La Watu Katika Kikao


Swali: Sunnah ni mtu akiingia kwenye kikao kutoa Salaam ya pamoja kisha akae au ampe mkono kila mmoja katika waliokaa?

Jibu: Atoe Salaam na inatosheleza na asiwashughulishe kwa kumpa kila mmoja mkono. Awatolee Salaam wote na inatosheleza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014