Swali: Vipi an-Najaashiy aliweza kuathirika na Qur-aan wakati Ja´far (Radhiya Allaahu ´anhu) alipomsomea? Je, alikuwa anajua kiarabu au alitarjumiwa?
Jibu: Bila ya shaka alitarjumiwa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-01-27.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014