Jini linaweza kumfanya mwanaadamu kupatwa na kijicho?


Swali: Je, jini linaweza kumfanya mwanaadamu kupatwa na kijicho?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Lakini ni wajibu kwako kufanya nyuradi na du´aa na Allaah atakukinga kutokaman na majini na watu:

مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ

“Miongoni mwa majini na watu.” (114:06)

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/28-07-1438h-fathou.mp3
  • Imechapishwa: 29/07/2017