Swali: Jini anaweza kumuingia jini na akamuathiri mwenendo wake na akazungumza kupitia ulimi wake wakati anaposomewa Qur-aan?
Jibu: Bila ya shaka, linatokea hili. Bila ya shaka jini humgusa mtu na kupita kwenye mwili wake kama damu inavopita kwenye mishipa ya damu. Linamgusa pia:
كَمَا يَقُومُ الَّذِي يَتَخَبَّطُهُ الشَّيْطَانُ مِنَ الْمَسِّ |
“… kama anavyosimama yule aliyezugwa na shaytwaan kwa kuguswa.” (02:275) |
Ukweli wa mambo unatolewa ushahidi na hili.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (15) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-02-09.mp3
- Imechapishwa: 11/11/2014