Swali: Je, jina ´Abaydullaah linaingia katika majina yanayopendwa na Allaah ambayo yamesemwa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Majina yanayopendwa sana na Allaah ni ´Abdullaah na ´Abdur-Rahmaan”?
Jibu: Ndio. ´Abaydullaah ni ugeuzo wa ´Abdullaah. ´Ubayd ni ugeuzo wa ´Abd. Hakuna neno.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-5-11.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014