Swali: Je, inajuzu kumwita mtu ambaye jina lake ni ´Abdul-´Aziyz “´Azuuz” au “´Uzayyiz”?

Jibu: Ni sawa. Hili ni jambo watu wamezowea. Hawakusudii kuwa ni jina la Allaah. Wanamkusudia mtu mwenyewe na ufupisho.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%2025%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017