Swali: Pindi mwandishi alipotaja wasifu wa ´Aliy bin Abiy Twaalib (Rahimahu Allaah) akasema:

“Alikuwa mume wa Faatwimah az-Zahraa´.”

Kuna wenye kusema kuwa “az-Zahraa´” haikutajwa na Salaf.

Jibu: Haina neno. Alikuwa (Radhiya Allaahu ´anhaa) ni mwenye kungara, az-Zahraa´.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017