Swali:  Leo kumeenea ´Abaa´ah zilizopambwa kwa rangi mbalimbali. Ni ipi hukumu ya kuziuza na ni ipi hukumu ya kuzivaa?

Jibu: Hizi sio ´Abaa´ah; hii ni mizigo (عبء). Haijuzu kuziuza wala kuzivaa. ´Abaa´ah zimewekwa kwa ajili ya kuficha mapambo. Hazikuwekwa kwa ajili ya kutaka watu wakuone. Wakati walipoona wanawake wa Kiislamu wameshikamana na ´Abaa´ah wakataka kumuharibia na kuzipamba kwa mapambo haya na mengineyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (89) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-08-07-1439.lite__0.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2018