Jiepushe na wanawake wa wazushi, oa wanawake Salafiyyaat


Swali: Ni ipi hukumu ya kuoa mwanamke ambaye baba yake na mama yake ni watu wa Bid´ah?

Jibu: Usimuoe. Wanawake Suniyyaat ni wengi. Oe wanawake ambao ni Suniyyaat.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17206
  • Imechapishwa: 28/01/2018