Je, ni lazima kwa anayesoma Qur-aan ndani ya msahafu awe na wudhuu´?

Swali: Je, ni lazima kwa anayesoma Qur-aan ndani ya msahafu awe na wudhuu´?

Jibu: Ndio, ni lazima awe na wudhuu´ kwa mujibu wa maoni yaliyopewa nguvu zaidi kunako suala hili.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Kariym bin ´Abdillaah al-Khudhwayr
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://saif.af.org.sa/sites/default/files/02_2.MP3
  • Imechapishwa: 18/09/2022