Je, kweli mimi nawafuata as-Salaf as-Swaalih – tazama hapa!


Swali: Vipi mtu atajua kuwa anafuata mfumo na njia ya Salaf-us-Swaalih?

Jibu: Akiwa ni mwenye kwenda sambamba na Qur-aan na Sunnah na amesoma ´Aqiydah ya Salaf-us-Swaalih iliyoandikwa kwenye vitabu vikubwa na vidogo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13965
  • Imechapishwa: 14/04/2018