Je, inajuza kufanya Twawaaf kwenye kila kitu?

Swali: Je, inajuza kufanya Twawaaf kwenye kila kitu?

Jibu: Maana ya Twawaaf kilugha ni kuzunguka. Maana ya Kishari´ah ni mtu kuizunguka Ka´bah na kuzunguka kati ya Swafaa na Marwah. Maana ya kilugha ni yenye wasaa zaidi katika hili.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (10) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191426#219753
  • Imechapishwa: 04/10/2019