Swali: Kuwaraddi baadhi ya waandishi kunaingia katika kupeleleza aibu za watu, jambo ambalo limekatazwa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Mambo ni kama tulivyowakhabarisheni. Ikiwa kosa lake linawadhuru watu, anawadanganya watu na mtu huyo akawa na wafuasi, kitendo hichi ni katika Jihaad katika njia ya Allaah, kubainisha haki na kutoificha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (07) http://alfawzan.af.org.sa/node/2050
  • Imechapishwa: 18/12/2016