Je, darsa na mawaidha yenye kurushwa hewani moja kwa moja inahesabika ni picha?

Swali: Mawaidha au darsa inayorushwa hewani moja kwa moja inaingia katika hukumu ya picha?

Jibu: Hapana. Hazina hukumu ya picha. Wanarusha picha za waswaliji na wengineo. Kisha baadaye zinapotea na zi zenye kubaki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (91) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-22-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 04/08/2018