Mwaka wa 357 kulitokea janga la Maashiriy ambapo watu wengi wakafariki. Wakati huohuo ngamia wengi wa mahujaji wakapatwa na kiu na wakafa njiani. Ni wachache mno waliofika Makkah, na wengi waliofika walifariki baada ya hijjah.

  • Mhusika: Imam Ismaa´iyl bin Kathiyr ad-Dimashqiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Bidaayah wan-Nihaayah (11/265)
  • Imechapishwa: 18/04/2020